Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,026
- 2,294
utanicheki nitakuwa hapo na mizigo yanguWeekend inaanza hapa
Chief kumbe upo rok siti aiseWeekend acha nisogoee kupata mbili tatu
weekend itaangukia nikiwa hapo.. mitaa yangu hiyo toka inafunguliwa mzee hiyo the caskChief kumbe upo rok siti aise
Itabidi tutafutane mkuuweekend itaangukia nikiwa hapo.. mitaa yangu hiyo toka inafunguliwa mzee hiyo the cask
Samaki ni watamu, Wakubwa....Wana Samaki Choma watamu sana hapo, bila kusahau wapenzi wa Karaoke na Live band siku za weekend [emoji119]
haina noma mzeeItabidi tutafutane mkuu
Naku PM vp maana naona inaleta error.haina noma mzee
Sahihi kabisa, ningemjua mpishi wao ningempandia dau aje anisaidie kuniuzia jina kwenye kijiwe changu kipya mkoani.Samaki ni watamu, Wakubwa....
Unakula humalizi...
Kabisa....Kazi yake anaifanya vyema sana...Sahihi kabisa, ningemjua mpishi wao ningempandia dau aje anisaidie kuniuzia jina kwenye kijiwe changu kipya mkoani.
Jamaa sijui kasomea wapi, maana samaki choma wake anajua sana kuwaandaa
Sahihi, maana hadi wafike kwetu huku unakuta wamekaa sana hata radha inapoteaKabisa....Kazi yake anaifanya vyema sana...
Inawezekana samaki wao ni fresh...maana siyo kwa utamu ule..