BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
kazi kweli kweli
Niwape her ya mapinduz wazanzibar wote. Katika kuwaunga mkono nikaambatana na rafk zangu kupata chupa 1 mchana huu. Mara tunakaribishwa na mhudum mwanaume, kakomaa, midevu kama Osama! Tumeishia kuagiza maji tukaondoka zetu, ham ya bia kwishnehi. Wenye baa wengine cjui vp!
Wanawake muhimu bwana! Kuna Shell moja nimewaambia sitanunua tena mafuta mpaka wawe na wauzaji wa kike! Waliokuwepo wamewafukuza ovyo!
Niwape her ya mapinduz wazanzibar wote. Katika kuwaunga mkono nikaambatana na rafk zangu kupata chupa 1 mchana huu. Mara tunakaribishwa na mhudum mwanaume, kakomaa, midevu kama Osama! Tumeishia kuagiza maji tukaondoka zetu, ham ya bia kwishnehi. Wenye baa wengine cjui vp!
Niwape her ya mapinduz wazanzibar wote. Katika kuwaunga mkono nikaambatana na rafk zangu kupata chupa 1 mchana huu. Mara tunakaribishwa na mhudum mwanaume, kakomaa, midevu kama Osama! Tumeishia kuagiza maji tukaondoka zetu, ham ya bia kwishnehi. Wenye baa wengine cjui vp!
Hiyo una uhakika ilikua ni shell mzee?isije ikawa ni BP maana shell siku hizi bongo si sana,au ilikua ni shell ya BP???????