Baa la Njaa na Ukame: Kanisa Katoliki lawataka waumini kufunga na kuomba mvua

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
826
Kupitia barua ya kichungaji iliyosainiwa na Askofu Ngalelemkutwa ambaye ndiye Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania amewataka waumini kufunga na kuomba mvua.

Ameidhinisha kuwa sehemu nyingi za nchi ni kame na zina uhaba wa chakula.

1484378836675.jpg
 
Wameanza kujitenga na bwana yule!

Au nao wametumwa na wanasiasa!

Ngoma inogile!

Hata hivyo, msishangae kusikia kina Yuda wanajitokeza na kuikana hii barua kwa madai kuwa hawaitambuia na hawakuhusishwa.

BAKUWATA wao watakuja na kitu tofauti kabisa ili kurekebesha hali ya hewa-subirini siku si nyingi
 
Kupitia barua ya kichungaji iliyosainiwa na Askofu Ngalelemkutwa ambaye ndiye Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania amewataka waumini kufunga na kuomba mvua
ameidhinisha kuwa sehemu nyingi za nchi ni kame na zina uhaba wa chakula

View attachment 459776
Amen japo watasema mmenunuliwa lakini nikweli mvua hakuna na hali y chakula ni mbaya sana (call a spade a spade not a big spoon) maombi ni muhimu sana tena sana! tuwaombee pia ambao wanadanganya kwamba hakuna njaa ili mungu awape maono
 
Back
Top Bottom