Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Jul 7, 2012 Thread starter #21 wakubwa iyo ba-psm ni wapi ajira ntapata ? nipo kijijin magu kwa sasa !
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Jul 7, 2012 #22 mpigamsuli said: wakubwa iyo ba-psm ni wapi ajira ntapata ? nipo kijijin magu kwa sasa ! Click to expand... acha uongo alafu pili,usitegemee kuajiriwa fikiri kujiajiri hapo unakuwa na knowledge ya usambazaji ,masoko na uifadhi kuajriwa ni kutafuta mtaji tu.Ukipata jiajiri.
mpigamsuli said: wakubwa iyo ba-psm ni wapi ajira ntapata ? nipo kijijin magu kwa sasa ! Click to expand... acha uongo alafu pili,usitegemee kuajiriwa fikiri kujiajiri hapo unakuwa na knowledge ya usambazaji ,masoko na uifadhi kuajriwa ni kutafuta mtaji tu.Ukipata jiajiri.
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Aug 14, 2012 Thread starter #23 Soma kwanza baadae ndo utafute kazi tuliaaa
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Aug 14, 2012 #24 SAMITI said: Soma kwanza baadae ndo utafute kazi tuliaaa Click to expand... Ha ha ha ha we jamaa unichekesha.
SAMITI said: Soma kwanza baadae ndo utafute kazi tuliaaa Click to expand... Ha ha ha ha we jamaa unichekesha.
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Aug 14, 2012 #25 mpigamsuli said: IYO PSPBT ndo nini? Click to expand... ni Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board kijana inabidi usome kwanza maana hata ukitaka kuwa mwalimu ni lazima GPA yako isome vizuri. Acha kiherehere huwezi kuamka kabla hujalala sawa?
mpigamsuli said: IYO PSPBT ndo nini? Click to expand... ni Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board kijana inabidi usome kwanza maana hata ukitaka kuwa mwalimu ni lazima GPA yako isome vizuri. Acha kiherehere huwezi kuamka kabla hujalala sawa?
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Aug 14, 2012 Thread starter #26 ipycalypse said: ha ha ha ha we jamaa unichekesha. Click to expand... jela mwezi mmoja kakaa ipycalpse by mpigamsuli ivi makamuzi yupo?
ipycalypse said: ha ha ha ha we jamaa unichekesha. Click to expand... jela mwezi mmoja kakaa ipycalpse by mpigamsuli ivi makamuzi yupo?
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Aug 14, 2012 #27 SAMITI said: jela mwezi mmoja kakaa ipycalpse by mpigamsuli ivi makamuzi yupo? Click to expand... Katika pitapita zangu nilimuona mida flani ha ha ha wamekupiga mwezi? Kwani ulifanyaje.
SAMITI said: jela mwezi mmoja kakaa ipycalpse by mpigamsuli ivi makamuzi yupo? Click to expand... Katika pitapita zangu nilimuona mida flani ha ha ha wamekupiga mwezi? Kwani ulifanyaje.
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Aug 14, 2012 Thread starter #28 Ipycalypse said: Katika pitapita zangu nilimuona mida flani ha ha ha wamekupiga mwezi? Kwani ulifanyaje. Click to expand... mimi ata sijui nime login nakuta message nimepigwa ban na hii ni ban ya pili kaka
Ipycalypse said: Katika pitapita zangu nilimuona mida flani ha ha ha wamekupiga mwezi? Kwani ulifanyaje. Click to expand... mimi ata sijui nime login nakuta message nimepigwa ban na hii ni ban ya pili kaka
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Aug 14, 2012 #29 mpigamsuli said: wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri! Click to expand... ajira? maliza kwanza chuo, maana chuo navosikia unaweza pia usimalize!
mpigamsuli said: wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri! Click to expand... ajira? maliza kwanza chuo, maana chuo navosikia unaweza pia usimalize!