Charles kisengo
Member
- Sep 7, 2016
- 6
- 3
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza kwamba hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology ambayo inasemakana inatolewa chuo kikuu cha UDOM tu.
Je mtu akisoma kozi hii ndio anakuja kuwa nani akimaliza au atafanya kazi zipi za kuajiriwa???
Asante