Molembe samahani mkuu nadhani jukwaa hili sio la first year au wanaoomba vyuo ..in jukwaa LA elimu.
Sidhani kama wote wanaouliza ni form six leaver.
Nadhani ni ukomavu Wa akili na kuchanganya na zako.so nakuheshimu na prejudgment zako bure kabisa. Najua in mhemuko Wa kujibu au kukatisha tamaa kuuliza.
Anyway asante mkuu