Daa kwenye ajira kaka hizo kozi ni tatizo sana unaweza ukajikuta unazunguka mtaani mpk utajutia kwann usiende education,,,nakushaur kabadili coz nenda education au fanya ata ukasome clinical officer mm ni mhanga wa botany tuko na best angu wa bsc general tunakula laki kwa mwez tempo yaan daah ni shida