Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
kutokana na mfumuko wa bei unaoendelea nchini bila ufumbuzi wa tatizo hili,imepelekea thamani ya fedha za ndani kushuka..ni wazi sasa ukienda na sh.elfu kumi sokoni haitoshi kwa mahitaji ya nyumbani kwa siku.
Ni tofauti na miaka ya nyuma,kwani hadi mwaka 1993 shiling ya Tanzania ilikua na thamani kubwa angalau.
Kutokana na tatizo hili BOT yaweza kuanzisha noti mpya ya sh.elfu ishirini (20,000) kwenye mzunguko ili kupunguza hadha ya kubebelea noti nyingi kununua vitu vichache.
Je nini madhara yake(hasara na faida kama zipo) kiuchumi na kijamii?
Andrew ChengeNdio maana kuna mtu (jina kapuni) aliwahi kuyaita mamilioni ni "vijisenti"> Nadhani wakati ule hakusomeka vizuri, Maana yake ndio hiyo, unakwenda Sokoni na T/Shs. elfu kumi unaishia kununua mboga tu.
kutokana na mfumuko wa bei unaoendelea nchini bila ufumbuzi wa tatizo hili,imepelekea thamani ya fedha za ndani kushuka..ni wazi sasa ukienda na sh.elfu kumi sokoni haitoshi kwa mahitaji ya nyumbani kwa siku.
Ni tofauti na miaka ya nyuma,kwani hadi mwaka 1993 shiling ya Tanzania ilikua na thamani kubwa angalau.
Kutokana na tatizo hili BOT yaweza kuanzisha noti mpya ya sh.elfu ishirini (20,000) kwenye mzunguko ili kupunguza hadha ya kubebelea noti nyingi kununua vitu vichache.
Je nini madhara yake(hasara na faida kama zipo) kiuchumi na kijamii?
Mie nilikuwa najua BOT wameanzisha kumbe ni wazo lako!

hicho mkuu kuna kitu kinaitwa inflation kwanza kabisa pesa yetu itashuka thamani mara mbili ya hiyo na pia kutakuwa na mfumuko wa bei sana kwa hiyo tujiaandae hasa kwani inatakiwa tuzalishe sana na pia kuuza sana nje kuliko kuagiza (favorable balance of payment).
Kumbe ni mawazo yako tu?Sasa mbona umetuongopea kwenye tittle yako?