Ndilla Member Joined Dec 22, 2012 Posts 42 Reaction score 7 Jan 10, 2013 #1 Habari wana JF Nnasumbuka kupata cartiridge ya printer aina Canon Mp250 wakati mwingine najibiwa kuwa printer hiyo haipo. Kwa anayefahamu mahali nnapoweza kupata cartridge hyo nnaomba anisaidie. Nnatanguliza shukrani.
Habari wana JF Nnasumbuka kupata cartiridge ya printer aina Canon Mp250 wakati mwingine najibiwa kuwa printer hiyo haipo. Kwa anayefahamu mahali nnapoweza kupata cartridge hyo nnaomba anisaidie. Nnatanguliza shukrani.