B.a sociology

makarang

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Habari wadau wa mtandao huu, me ni kijana wa mika 23, nimehitimu degree ya kwanza ya sociology, natafuta kazi inayorelate na proffession yangu, natanguliza shukran za dhati.
 
asante kwa skukrani zako kazi umepata tuwasiliane tu sisi ndio watu tulio kwenye system
 
what is sociology?!!! sometimes mnaposoma muwe mnasoma alama za nyakati. kama huna mtaji wa kujiajiri bora usome sayansi au masomo yanayokimbiwa na wengi ambayo ajira yake si ngumu kupata.....kukwepa hesabu+science subjects kutakugharimu.
 
Sasa wewe utingo ndo utajua what is sociology..?hakuna kazi rahisi kupata ukiondoa ualimu na udoctor zingine zote huslin ya kupata kazi ni kama kwaida..jombaa we husle tu sociology ipo na vitu kibao tu ww zama kwa NGOs tu ndo itakua fresh kutoka..!
 
keep dreaming on NGOs
 
Tembelea ajira.go.tz,hiyo ni web ya sekretarieti ya ajira ktk utumishi wa umma,hua wanatoa post kila baada ya muda fulani!

Ww unaweza ukaomba nafasi za afisa ustawi wa jamii(social welfare officer),afisa maendeleo ya jamii(community development officer) au afisa tawala/afisa utumishi!

Dada angu amesoma hiyo coz na ameajiriwa km afisa ustawi wa jamii na hiyo sekretariet ya ajira!

Usikate tamaa!
 
Habari wadau wa mtandao huu, me ni kijana wa mika 23, nimehitimu degree ya kwanza ya sociology, natafuta kazi inayorelate na proffession yangu, natanguliza shukran za dhati.
Usipende kuingia kwenye system.
Ukitaka kazi nzuri ambayo wewe utaridhika nayo, huna budi kutuambia ni nini umekifanya baada ya kupata elimu yako.
Umeitumiaje elimu yako??

Nakushauri ucague channel unayoipenda, unaweza kusaidia watoto yatima, wafungwa gerezani, single mothers, elderly n.k bila kulipwa ili ujenge resume.

Au kacheze kwata chuo cha magereza, uwasaidie ndugu zetu waliofuata mkondo mbaya na kujikuta wakitengwa na jamii. Jaribu kuwarudisha kwenye jamii kwa mfano, design mfumo wa probation Tanzania ambao uatarahisisha labda vocational training, microfinancing schemes etc ....

Don't ask us what we can do for you, tell us what you can do for us!!

I wish you luck brah.
 
usijali mdau,ila jua tu kupata kazi nikazi pia,so komaa utoke my brother
 
what is sociology?!!! sometimes mnaposoma muwe mnasoma alama za nyakati. kama huna mtaji wa kujiajiri bora usome sayansi au masomo yanayokimbiwa na wengi ambayo ajira yake si ngumu kupata.....kukwepa hesabu+science subjects kutakugharimu.

We umesoma nn? Mbona mi nimesoma Sociology and am making money na mambo yanenda? Na nina jamaa zangu wengi tu nilio kuwa nao chuo enzi hizo wako vizuri tu,acha dharau
 
sociology payes much kama unaelewa nini ndani yake but kma umesoma bora mradi utaumia sana but hata vyuo mnavyosoma vinachangia,,,,,be creative and dont be much selective
 
Yani mtu akickia sociology wanasema ni masomo ya kike tena mepec soma wewe uone watu wengi wamesoma iyo wako safi bwana kumbuka fani yako unaingia kila sehemu ushauri wangu usichague kazi anza na yoyote ile mwanzo mgumu
 
Tatizo madogo wanapenda sana kuchagua kazi hawa!!

Utasikia wanaambizana habari za kuwa ma-project manager, yaani huwa hawawazi kazi za chini kama community facilitator n.k. Ukiwapa zile kubwa nazo hawawezi kupiga mzigo unaotakiwa masaa yote wako kwenye facebook tu!! Kizazi hiki tuna wakati mgumu sana. Nimefanya nao wengi sana ambao walidai wamesoma hiyo B.A. in Sociology yaani mpaka unajuta kwanini ulimwajiri!!?

Mimi namshauri akaanze na kazi yoyote iwe ndogo kiasi gani ili atengeneze kwanza CV yake, vinginevyo akikimbilia kwenye NGOs na kulilia u-meneja hataweza!
 
Yani mtu akickia sociology wanasema ni masomo ya kike tena mepec soma wewe uone watu wengi wamesoma iyo wako safi bwana kumbuka fani yako unaingia kila sehemu ushauri wangu usichague kazi anza na yoyote ile mwanzo mgumu

Pole yako siunaona jamaa anajutia we unaleta utetezi wakitoto kias hiki Eti anafiti kila sehemu
 
Sasa wewe utingo ndo utajua what is sociology..?hakuna kazi rahisi kupata ukiondoa ualimu na udoctor zingine zote huslin ya kupata kazi ni kama kwaida..jombaa we husle tu sociology ipo na vitu kibao tu ww zama kwa NGOs tu ndo itakua fresh kutoka..!
Eti NGO...tanzania hii...endelea kujipa moyo hakuna fani iliyongumu kupata kazi km sociology. .mtu yoyote wa sayansi awe engineer. Doctor..nurse..pharmacist. .lab techonologist..hawakosi kazi tena wanapiga vijiwe viwili viwili..we umekremu ni ticha na doctor tu...endelea kuwadanganya wadogo zako wasome hkl., klf, hgl..na course zingine rahis rahis uone msoto wake..wanasheria kibao mtaani..la sivyo wasome kufuta ujinga ila wawe na mtaji wa ujasiriamali
 
Kwanza hizo fani zingine za kike bana Sociology mwanaume mzima? Mwanaume lazma ukomaeee aalaah...maECA..maPCM
, maPGM., maPCB
maEGM hasa kwa kizazi cha sasa..huko kwingine kulishajaa heri yao wa enz ya nyerere
 
what is sociology?!!! sometimes mnaposoma muwe mnasoma alama za nyakati. kama huna mtaji wa kujiajiri bora usome sayansi au masomo yanayokimbiwa na wengi ambayo ajira yake si ngumu kupata.....kukwepa hesabu+science subjects kutakugharimu.

Sociology is the study of people like you
am a sociologist and I make more money everyday and i will kip on making more money each day of my life by being just a sociologist
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…