Azawad - A new African state proclaimed!

Ukiangalia hilo jimbo/eneo/taifa lililojitangazia uhuru, ni kubwa zaidi kuliko Mali. Kumbe juhudi zao za kudai uhuru hazikuanza leo na hata hao wanajeshi waliopindua, walifanya hivyo kwa sababu raisi waliempindua walimhisi ana "moyo laini" kwa "waasi", na ndio walitaka wao wawanyamazishe. Matokea yake ni hayo.
Tusubiri tuone.
Ni muendelezo wa mikakati iliyokuwepo tokea awali, baada ya Sudan ya kusini ilikuwa wimbi la kugawanywa liilekee Misri (lilisimamishwa na mapinduzi ya kumngoa Mubaraka) sambamba na Mali,Niger (sina uhakika kuhusu Mauritania ilikuwa ingiliwe vipi).
Kutoka Euphrates una Iraq iliyogawanyika, kuanzia Nile una Sudan (Misri) zinazogawanyika, changanya na zako unapata jibu Mkuu!
 
kilichotokea si kigeni miongoni mwa jamii au nchi za kiafrika coz tumeona southern sudan wamepigania haki zao japo kwa nguvu na kumwaga damu nyingi bt mwisho wake wamepata japo mambo babo hapajawa shwari sana,so in case of azawad km mambo waliokuwa wanafanyiwa southern sudan wanafanyiwa hawa tuareg then ni haki yao kudai uhuru so kwangu mimi its ok and berlin conference haikuwa sahihi ktk mgawanyo wa mipaka so athari zake ndo hizi ,sio hawa tu kuna jamii kubwa km wakurd walio iraq,turkey,iran na kuwait pia kuna jamii ya singasinga walio kwenye jimbo la kashmir india nao wana matatizo km haya so ni wajibu wa jamii ya kimataifa kuliangalia kwa upya swala km hili

lingekuwa ni taifa la kikristo linataka kuundwa lingeungwa mkono na nchi za magharibi US,ULaya na waafrica kama ilivyokua south sudan ikisaidiwa ila kwa kuwa ni la waislam basi halitakubaliwa na kupigwa vita kama vile somalia inavyopingwa kundi la waislam kuongoza nchi!!
 
Ukiangalia hilo jimbo/eneo/taifa lililojitangazia uhuru, ni kubwa zaidi kuliko Mali. Kumbe juhudi zao za kudai uhuru hazikuanza leo na hata hao wanajeshi waliopindua, walifanya hivyo kwa sababu raisi waliempindua walimhisi ana "moyo laini" kwa "waasi", na ndio walitaka wao wawanyamazishe. Matokea yake ni hayo.
Tusubiri tuone.

So ist African bone cancer of tribalism which is eating Malians?
 
lingekuwa ni taifa la kikristo linataka kuundwa lingeungwa mkono na nchi za magharibi US,ULaya na waafrica kama ilivyokua south sudan ikisaidiwa ila kwa kuwa ni la waislam basi halitakubaliwa na kupigwa vita kama vile somalia inavyopingwa kundi la waislam kuongoza nchi!!

Tuareg are Selfish Men.They Apartheidst
!
 
Back
Top Bottom