Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

Azam sio ya kidini, lakini pia niyamtu binafsi humpangii aonyeshe nini, jambo lamsingi akionyesha usichopenda unasusia tu, mbona Clouds Radio na nduguye Wasafi wanapendelea CCM badala yakuonyesha usawa nakwavyama vingine?.

Kwani Azam anapewa Ruzuku naserikali?.
Wewe kweli mbumbumbu hujui unapoenda kuomba leseni ya redio au TV unaeleza kabisa kuwa unaendesha kwa dini au vinginevyo
 
Ni kweli Azam Tv kuna udini flani hv.
lkn kwenye hili umeandika uongo.
Kuna Wakristo wengi tuu pale tena wana vyeo vikubwa, kwa kukutajia mmoja ni production manager wa Azam Tv ni Mkristo anaitwa Deo, unajua maana ya neno production manager tena kwenye kampuni kubwa kama Azam Tv.?
Achana na huyo Deo ambae pengine hajulikani na wengi japo yupo kwenye top position
Mimi nakutajia wale ambao wanaonekana daily
Baraka Mpenja
Danny Bandezu
Wasiwasi mwabulambo
Kennedy Moses
Patrick Nyembela
Daniel Laizer
Sara Jackson
Janet
Lkn tukimuuliza mleta mada VP pale ITV kuna mseto wa wakristo na waislam kama Azam tv
Au pale ITV kuna usawa wa matangazo ya Ramadan na Christmas?
 
Mm nadhani tv zote ziruhusiwe kuonyesha mpira wa ligi ya NBC sababu wengi wanatumia ving'amuzi vya azam sababu ya mpira tuone hicho kiburi chao kitaishia wapi
Wewe unadhani kuonyesha mpira ni bure? Azam anetoa billions mia nne na ushee ili kupata hiyo haki ya matangazo
 
Sehemu pekee ambayo unatakiwa kudai usawa ni TBC na sio Azam.

Alafu huo udini huwa unaonekana kwenye mali za waislam tu.
Lakini kwenye mali za wagaratia wenzio huwa hamuoni udini bali ni uweledi.
Tumuulize kuhusu ITV Kwa nn wakati WA Christmas kuna matangazo mengi ila wakati WA Ramadan Hakuna hayo matangazo
Tumuulize pia Kwa nn ITv kuna wakristo wengi kuliko waislam?
Hawa ndugu zetu Wana roho mbaya iliyopitiliza
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Wewe ndio unapaswa kuwa huru kwenye kifungo Cha Dini!!

Unaweza kuwa mtu was Mungu pasipo kuwa member wa Dini yoyote ile!!

Kabla hazijaja baby zetu waliishije!!?

Achana na propaganda za dini coz alieuanzisha u roman catholic ndio alieanzisha uislam!!Sasa unatetea upande gani!!?

Achana nayo!!
 
Wewe kweli mbumbumbu hujui unapoenda kuomba leseni ya redio au TV unaeleza kabisa kuwa unaendesha kwa dini au vinginevyo
Azamu aliandika kibiashara na Kwa mwezi huu kaona maudhii ya dini yake ndio yanampa faida. Sasa wataka aonyeshe nini ?. Mwezi huu usilipie.
 
Kuna watu wanashangaza sana wanapinga udini maeneo wasiyo yataka Au yasiyo wahusu .wamesahau kuwa chrismas na mwaka mpya kila radio kila TV ni offer ya xmas lakin hamsemi!
 
Redio maria huwezi skia mambo ya ramadhani kila moja abebe msalaba wake
ile ni radio ya dini...Azam sio kituo cha kidini.Ingekuwa kituo cha kidini kama radio Iman,kheri nk usiongeona hiyo comment.

Na hao huwa wanafanya hivyo punde tu Rais akiingia muislam.
 
Majibu ya kina Khadija Kopa haya! Na kama mtu hapendi wakristo ahamie Saudi Arabia au Afghanistan, hii ni nchi ya watu wa dini zote na wasio na dini. Azam iliomba kutoa huduma kwa watz wote lazma iache ubaguzi ndiyo sheria za nchi.
Sijui unateseka ukiwa wapi acha dawa ikuingie vizuri, mijitu ilojaa udini kama wew ndio hamtakiwi hapa nchini katafuteni nchi yenu mana hiyo ni kansa ulokua nayo.
 
Back
Top Bottom