Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

Redio maria huwezi skia mambo ya ramadhani kila moja abebe msalaba wake
We mjinga sana, nguo ndio aina ya watanzania wasiojua kujenga hoja. Radio Maria ni specific kwa mambo ya kidini na imesajiliwa hivyo, tofauti na Azam
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Ni kweli Azam TV na SSB kuna udini mwingi kwenye ajira
 
Mkuu em acha kuandika vichekesho

Azam Tv sio mdhamini mkuu wa ligi lkn anatoa 500m kwa mshindi wa kwanza na pesa kibao kwa timu namba mbili mpaka wa mwisho yani yule anayeshuka daraja nae ana pesa yake kutoka Azam Tv wakati huo huo mdhamini mkuu wa ligi ambaye ni NBC yeye anatoa 100m tuu tena kwa mshindi wa kwanza tuu.

Halafu unakuja na vichekesho vyako ety Tv zote zionyeshe ligi hizo Tv tuu kulipana mshahara wanashikana mashati ndio waje walipie kufanya production ya mechi.?

Mkuu em acha utani kwenye kazi za watu.
Mbona zamani itv walikua wanaonesha mechi
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Azam na Yanga zimekuwa kama miskiti, waislamu ni malimbukeni sana.
 
Hayo mambo hayapo Dstv azam tv ndo mdudu gani nisije pofuka macho bure et soka live uku goli likisikika redioni kwenye tv kama sekunde 30 hivi ndo na wenyewe goli linaingia
Safii kabisa mkuu, kama kitu hufarahishwi nacho inatakiwa ukipige chini, wewe umefanya jambo la maana na nakupongeza sio kama wazushi wengine unaweza sema wanachapwa viboko kununua hayo madishi ya Azam.
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
ila mtoa uzi utakuwa tuu unachuki zako kali kwa dini ya kiislam kiukweli hata sikukuu za krismass na mwaka mpya huwa hivohivo kila tangazo ni Christmas na mwaka mpya kama unavyoona ramadan😊 na kwaupande wa wafanya kazi wakristo wapo kibao azam, yahn azam awache kuajiri mtu mwenye cv nzuri,uzowefu na ufanisi wa kazi kisa dini yake😂 kuwa serious mtoa uzi naimani kina devid wakarungi wakiona huu upuuzi ulioandika wao wenyewe watakuwa wanacheka😂
 
Ivi waafrica tuna matatiz gan sisi ? Yaani umpangie kitu cha kufanya kwa jambo ambalo halikuhusu ?

Anzisha tv yako halafu fanya yale ambayo yatakupendeza wewe na uache tabia ya kupangia watu kwa mambo ambayo hayakuhusu.
Naskia kuna wapuuzi huko Zanzibar wanakataza watu kula mwezi mtukufu
Hata kama watu hao hawautambui uislamu

Siku moja nitaenda huko mwezi wanaoita mtukufu alafu nitatafuta kitimoto itakaangwa vizuri na ndizi na mirinda baridi itakuwa mfukoni
Wakati huo nitakuwa nimenoa sime vizuri kabisa na kisu kidogodogo nimevificha mwilini
Saa tisa alasiri nitakuwa nakatiza mitaani nikijinoma taratibu huku nikisubiri huyo mpuuzi ajipendekeze akijiongelesha tu siyo shida, shida ni pale atakapo jaribu kunigusa
Nitamgawa vipande vitatu yeye mwenyewe hatajua kilichotokea atajikuta tu ndiyo anamalizikia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada alitarajia hayo ya Ramadhani yaonekane kule kwenye channel za dini mfano TV Imaan na Sio Sijui Azam 1 au 2 ambazo ni rasmi Kwa watu wote. Yaani Kwa kifupi hao hao hawakuonesha matangazo ya Christmas
Sasa huko ndio kumpangia mtu na biashara yake, kama ulikuwa una shida na matangazo ya Christmas basi ungeangalia kwenye chaneli za kikristo. Mfano chaneli Ten ina vipindi vingi vya dini vya kikristo na si chaneli ya dini ila mtu hulalamiki ukiona hupendi kinachoonyeshwa unabadili chaneli na si kutafuta usawa.
 
Sehemu pekee ambayo unatakiwa kudai usawa ni TBC na sio Azam.

Alafu huo udini huwa unaonekana kwenye mali za waislam tu.
Lakini kwenye mali za wagaratia wenzio huwa hamuoni udini bali ni uweledi.
Cheneli 10 huko si mchezo kumejaa vipindi vya manabii tu ila hakuna lawama.
 
Back
Top Bottom