Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

Ni kweli Azam Tv kuna udini flani hv.
lkn kwenye hili umeandika uongo.
Kuna Wakristo wengi tuu pale tena wana vyeo vikubwa, kwa kukutajia mmoja ni production manager wa Azam Tv ni Mkristo anaitwa Deo, unajua maana ya neno production manager tena kwenye kampuni kubwa kama Azam Tv.?
Sasa hapo udini upo wapi? Mi naona ni chuki tu za mleta mada dhidi ya waislamu
 
Soma mtu alichoandika Kisha ndio u comment, kasema kama sio mkristo hupat, haya hao uliowataja ni waislamu?. Yeye kajaza chuki ya udini Kwa Azam mpaka anajichanganya kama Bakharesa ni muislamu anaajiri wakristo huo udini unatoka wapi?.
Sema hapo napo mleta mada amejua kujichanganya 😆 yani analalamikia matangazo ya Krismass hayakupewa uzito na sasa anaona ya ramadhani kila kona ila wakati huo huo anasema ajira kama sio mkristo hupati
 
Azam sio ya kidini, lakini pia niyamtu binafsi humpangii aonyeshe nini, jambo lamsingi akionyesha usichopenda unasusia tu, mbona Clouds Radio na nduguye Wasafi wanapendelea CCM badala yakuonyesha usawa nakwavyama vingine?.

Kwani Azam anapewa Ruzuku naserikali?.
Mm nadhani tv zote ziruhusiwe kuonyesha mpira wa ligi ya NBC sababu wengi wanatumia ving'amuzi vya azam sababu ya mpira tuone hicho kiburi chao kitaishia wapi
 
Mm nadhani tv zote ziruhusiwe kuonyesha mpira wa ligi ya NBC sababu wengi wanatumia ving'amuzi vya azam sababu ya mpira tuone hicho kiburi chao kitaishia wapi
Halafu hizo tv zitoe ela kama anayotoa Azam kwenye Team za Ligu pia. Au waonyeshe tu ili wewe usiwe na Azam?. Mkataba wa Azam ulivyousha kuonyesha hio Ligue kuu mbona hawakwenda kuomba kuonyesha?.
 
Masikini ya mungu anamtukana tajiri , kwa nini usihangaike na wewe ukafungua hata kistudio kama cha mange kimambi tu kwa kuanzia kuliko kutukana na kuwachukia watu ambao wamekuzidi wewe na ukoo wenu wote
Acha wewe nani anataka mali za kafara?au mali za mafreemanson
 
Sasa hapo udini upo wapi? Mi naona ni chuki tu za mleta mada dhidi ya waislamu
Ila binafsi point ya mtoa mada naielewa, siwezi kusema mengi ila Ukisoma nilichokiandika Utaelewa zaidi.

Ila kuna watu wana changanya mambo, mfano Azam Tv kuwa na channel nyingi za kikristo wanasema Azam hawana udini wakati hizo channel sio mali ya Azam, lkn kama wakizungzia udini ndani ya channel zinazomilikiwa na Azam bc naweza kuwaelewa.
 
Unachanganya mambo kasema tv pia ujue watu wanalipa pesa kwenye hivi ving'amuzi.kama swala la kubeba mzigo ni kufanya ubaguzi wa kidini wakati watu wanatumia pesa zao basi wauzieni ving'amuzi waislamu tu wakristo muwaache.
Kwani wamerazimishwa kuvinunua ?
 
Mm nadhani tv zote ziruhusiwe kuonyesha mpira wa ligi ya NBC sababu wengi wanatumia ving'amuzi vya azam sababu ya mpira tuone hicho kiburi chao kitaishia wapi
Mkuu em acha kuandika vichekesho 😂

Azam Tv sio mdhamini mkuu wa ligi lkn anatoa 500m kwa mshindi wa kwanza na pesa kibao kwa timu namba mbili mpaka wa mwisho yani yule anayeshuka daraja nae ana pesa yake kutoka Azam Tv wakati huo huo mdhamini mkuu wa ligi ambaye ni NBC yeye anatoa 100m tuu tena kwa mshindi wa kwanza tuu.

Halafu unakuja na vichekesho vyako ety Tv zote zionyeshe ligi 😂 hizo Tv tuu kulipana mshahara wanashikana mashati ndio waje walipie kufanya production ya mechi.?

Mkuu em acha utani kwenye kazi za watu.
 
Acha ujinga wewe hata hujui hata elimu ya biashara hivi kila mtu akianzisha tv nani atakuwa mlaji?kumbe nimejua wewe madrasa yamekuharibu
Hata kama hiyo hela ya kuanzisha hata kichanel huko YouTube baba yako anayo?
 
Halafu hizo tv zitoe ela kama anayotoa Azam kwenye Team za Ligu pia. Au waonyeshe tu ili wewe usiwe na Azam?. Mkataba wa Azam ulivyousha kuonyesha hio Ligue kuu mbona hawakwenda kuomba kuonyesha?.
Achana nae huyo, ameandika upumbavu mkubwa sana ila hajui tuu
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
 
Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    46 KB · Views: 2
Nunua DSTV au anzisha ya kwako kwani umelazimishwa kutumia Azam kuna Zuku na nyingine nyingi tu.
Majibu ya kina Khadija Kopa haya! Na kama mtu hapendi wakristo ahamie Saudi Arabia au Afghanistan, hii ni nchi ya watu wa dini zote na wasio na dini. Azam iliomba kutoa huduma kwa watz wote lazma iache ubaguzi ndiyo sheria za nchi.
 
Azam TV acheni udini katika vipindi vyenu kwenye channel zinazomilikiwa Azam kama vile Azam Two

Fanyeni biashara na wekeni udini pembeni. Matangazo ya Christmas mliyafinya mkayweka nyuma tukatazama tukanyamaza imefika Ramadhani kila tangazo ni ramadhani utadhani wote walionunua au kumiliki kin'gamuzi cha azam ni waislamu.

Kuna story niliwahi kuzisikia kwamba ni nadra sana kupata kazi katika makampuni ya Azamu kama sio muislam. ACHENI MARA MOJA UDINI, MMEKUWA WADINI MPAKA INAKERA.
Wakiristo bana
1. Mou yenu
2. Jumamosi na J2 mapumziko yenu
Hata hichi kidogo unaumia?
Dah siku ikitokea ijumaa mapumziko si utashindwa kulala kwa mawazo.
Fungua tv yako uweke kwaya kutwa nzima kama utasikia malalamiko humu
 
Majibu ya kina Khadija Kopa haya! Na kama mtu hapendi wakristo ahamie Saudi Arabia au Afghanistan, hii ni nchi ya watu wa dini zote na wasio na dini.
Wapi alisema hapendi wakristo? Acheni kuzusha vitu kwa ajili ya chuki zenu kisa tu muislamu , ukijiuliza hizo chuki zako zitakusaidia nini hupati jibu , ni ujinga tu
 
Mleta bandiko wewe ndiyo mdini,ukisngalia Azam ana channel nyingi za kikristo kuliko za kiislamu,kama unatumia kisimbuzi Cha Azam kaangalie uzihesabu za christians halafu uje za Muslim,halafu urudi hapa na bandiko lako.
Halafu unampangiaje mtu Cha kufanya wakati hukumsaidia kutafuta Hela?
 
Back
Top Bottom