AzamTV Vs EasyTV

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo WanaJF.

Naombeni Ushauri. Nimekuwa mteja addicted wa EasyTV tokea 2009. Lakini kwa sasa kutokana kuwa wamenyang'anywa kurusha Channel kama ITV/EATV/StarTV, Ninataka kuhamia Azam Tv kwa sasa lakini bado nnafikiria kuiacha MBC-Action & Emmanuel TV.

Je AzamTV hawana Mpango wa kuweka channel za Dini kama hii ya Emmanuel yenye wafuasi wengi Duniani na nyingine hata ya kiislam ili kubalance!?

Kama Management wataisoma hii thread nawaomba wafikirie Mara 5 ili hizi channel za MBC zote wawenazo pamoja na Channel mbili za Dini mostly ikiwa ni Emmanuel TV na Nyingine ya Kiislamu.

Kusema kweli AzamTV wameanza na Gia Nzuri sana. And I'm sure wengine wataenda kuangukia Pua.

Asante.
 

MBC zote zipo, za dini hamna ila tuwape mda kidogo maana naona wako serious na wanachokifanya.
 
Jamaa wako vzur.....naona tangu juzi wameongeza itv na eatv.......soon tujiandae kuangalia mechi za barclays
 

MBC zote zipo na local Chanel kama 5 hivi,serious local Chanel ambayo haipo ni star TV na capital basi.in short jamaa wapo beyond serious kiukweli,wasauzi wajipangeee la sivyo....chaliiii
 
Azam tv kwa kweli wapo vizuri kwa sasa,wangeweza kuweka channel ya Star tv na Capital wangekua bora zaidi,hizo za dini niliingia kwenye account yao ya FB wakaahidi kua wakati wowote wataweka hizo channel za dini japo hawakubainisha ni zipi hizo.tuwape muda kidogo pengine hata zenye kurusha mipira wataweka watupunguzie kuibiwa kunakofanywa na DSTV.Haiwezekani kwa Mtanzania mlalahoi kulipa Usd89 kwa mwezi kwa ajili ya kuangalia tv tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…