Azam yaua na kukwea kileleni

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Magoli ya John Boko "Adebayor" na ndugu wawili Kipre Herman Tchetche na Kipre Michael Bolou yameipa Azam ushindi wa 3-0 dhidi ya team ya JKT Ruvu na kushikilia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara katika mechi iliyopigwa leo uwanja wa Taifa kuanzia saa 1 jioni.
Hongereni wana rambaramba.
 

sio rambaramba ni lambalamba Asante sana yanga asili pamoja sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…