Azam yabeba matumaini ya Watanzania Afrika

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
azam.jpg

MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo wanajitupa uwanjani kumenyana na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, ikiwa inabeba matumaini makubwa ya Watanzania.

Azam, ambayo ambayo imevuka raundi ya kwanza kwa kuifungashia virago Bidvest Wits University ya Afrika Kusini kwa kuichabanga jumla ya mabao 7-3, inashiriki kwa mara ya...

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Azam yabeba matumaini ya Watanzania Afrika | Fikra Pevu
 
Mbona mmeitoa yanga kwenye hayo matumaini? kisa imetoa sare mechi ya awali! Mbona hata hiyo Azam ikifuzu na yanga akatolewa bado wataungana wote raundi inayofuata kombe la shirikisho! Au ndio kuitenga kiaina timu ya wananchi?
 
Back
Top Bottom