Azam Two wako vizuri sana; try them

Fight ClimateChange

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
294
Reaction score
262
JAMANI MJITAHIDI KUITAZAMA AZAM TWO MUDA WA TAARIFA YA HABARI. HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA. WANACHAMBUA HABARI VIZURI SANA NA WATANGAZAJI WAO NI MAHIRI MNO.
AGHALABU HUWALETA WATU WENYE UJUZI KUZICHAMBUA HABARI MUHIMU KILA SIKU. THEY ARE ACTUALLY TANZANIAN BBC OR ALJAZEERA OR CNN

MIMI HUFURAHI SANA KUTAZAMA CHANNEL YAO
YOU TRY THEM AS WELL
 

Attachments

  • img-chaneel-6.png
    29.9 KB · Views: 85
  • AZAM.jpg
    6.2 KB · Views: 44
Vp wanamtizamo gani wa kiuchambuzi kuhusiana na makanikia, na report ya tanzanite na almasi vp wanasemaje?
 
Vp wanamtizamo gani wa kiuchambuzi kuhusiana na makanikia, na report ya tanzanite na almasi vp wanasemaje?
Leo jioni kuna kipindi kinaitwa lasiri lounge nadhani utapata uchambuzi mzuri. ukikosa muda au kwa faida zaidi tazama Azam news saa mbili usiku. you will never regret
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…