“Azam two" mnakwamia wapi?

“Azam two" mnakwamia wapi?

kana karumendo

New Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
3
Reaction score
4
Sielew sjui nini kinaendelelea au ndo chanel ya tbc inakufa taratibu imekosa watazamaji hadi baadhi ya vipindi wanahamishia azam two.tbc mnapata tabu muda wa maji kuyaita 'mma" umefika. Msiporekebisha vipindi itakuwa ngumu kupata watazamaji maana ving'amuzi vinamilikwa na vijana na kwa system yenu ya vipindi ni wazee ndo wanaiangalia hiyo japo ni free lakn inakosa watazamaji wengi,chukueni hatua sasa
 
Back
Top Bottom