godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nitafuatilia kubaini hiki ulichokisema then ntachukua hatua mara moja.Hio NICKOLODEAN channel iblock kwa usalama wa watoto wako,sometimes ina katuni zenye maudhui ya mambo ya kishoga.
auto searchLicha ya kulipia package ya Tshs 23,000/= lakini tangu juzi nimekuwa sizipati baadhi ya channel kama:
1.AZAM SPORT TWO
2.AZAM HD
3.NICKOLODEAN
4.TBC ONE
Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi.Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue.Msaada wenu tafadhali
autosearchLicha ya kulipia package ya Tshs 23,000/= lakini tangu juzi nimekuwa sizipati baadhi ya channel kama:
1.AZAM SPORT TWO
2.AZAM HD
3.NICKOLODEAN
4.TBC ONE
Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi.Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue.Msaada wenu tafadhali
Chukua hatua kamanda.Mkuu nitafuatilia kubaini hiki ulichokisema then ntachukua hatua mara moja.
Nashukuru Mkuu ntajaribu Auto searchauto search
Hahahahaa! ni kwa ajili ya kufuatilia mwenendo mzima wa Kampeni,huwa hawa wanaonyesha kwa kirefu.
Wale bure kabisaa yaan startimuz soka wanalo onyesha ni ZERO (in baba J voice)Hata soka la kimataifa huwa wanaonesha pia
Jamaa wanazingua channels zinascratch tu na nyingine hazioneshi kabisa na mbaya zaidi nyingine wamezitoa kabisa.....nishafanya kama walivyoelekeza ikawa bado nika auto search hola, factory default wapi....daaah azam mungu anawaonahii nimeifanya mpaka ku restore kuinstall chanel upya.. imegoma chaajab jiran yangu znaonekana nikipeleka resever yangu install chanel upya znakuja ila nkienda kwang azioneshi sijajua tatizo nn
nilifikiri dish lang limecheza ikabid niangalie intensity zpo 98
na quality 48 azionesh
chakushangaza kwa jira kuna
intensity 75
quality 43 inaonesha vizur
azam awajanitendea hak kabisa tokea tarehe 2 daah..
Kabisa,Nami ilinitokea - nikasearch upya channels hali ikarudi kuwa shwari. Jaribu.
hii nimeifanya mpaka ku restore kuinstall chanel upya.. imegoma chaajab jiran yangu znaonekana nikipeleka resever yangu install chanel upya znakuja ila nkienda kwang azioneshi sijajua tatizo nn
nilifikiri dish lang limecheza ikabid niangalie intensity zpo 98
na quality 48 azionesh
chakushangaza kwa jira kuna
intensity 75
quality 43 inaonesha vizur
azam awajanitendea hak kabisa tokea tarehe 2 daah..