godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Sasa ndugu hiyo shida si bora ungewatafuta huduma kwa wateja ukapata utatuzi kuliko kufungua thread jF.Hata ukiwatafuta insta,FB na social media nyingine shida yatatuliwa chap kwa haraka.
Sasa ndugu hiyo shida si bora ungewatafuta huduma kwa wateja ukapata utatuzi kuliko kufungua thread jF.Hata ukiwatafuta insta,FB na social media nyingine shida yatatuliwa chap kwa haraka.
Nashukuru Mkuu, ngoja nijaribu kama ulivyonielekeza.Walitangaza kuwa kunamaboresho wanafanya. Weka channel 100, itajirekebisha yenyewe kwa kusearch channels upya
Sawa, ngoja na mimi nisearch upya Mkuu.Nami ilinitokea - nikasearch upya channels hali ikarudi kuwa shwari. Jaribu.
Amia startimes
Ila startimes wale wana makwazo. Yaann li king'amuzi kimesheheni matamthilia tuMkuu na mimi nilikuwa na wazo hilo, lakini ngoja niwape muda kidogo.
Uzi wako umeunajisi kwa kulalamikia eti hupati sijui tb nini one...!
Wengine tunatafuta njia ya kulifuta hilo lichanel kabisa kwenye ving'amuzi vyetu!
Basi Mkuu naona hiki hakinifai.Ila startimes wale wana makwazo. Yaann li king'amuzi kimesheheni matamthilia tu
Raha yqke ni zile bure tuu lkn the rest yaan ni matamthilia kama una vitoto bac unaenda kuviangamiza akili zaoBasi Mkuu naona hiki hakinifai.
Hata mm nimeshangaa kuitaja TBC ccm aisee,hivi kuna mtu aliye vizuri kabisa upstairs anaangalia huo ujinga??Uzi wako umeunajisi kwa kulalamikia eti hupati sijui tb nini one...!
Wengine tunatafuta njia ya kulifuta hilo lichanel kabisa kwenye ving'amuzi vyetu!
Kampeni za upande mmoja tuHahahahaa! ni kwa ajili ya kufuatilia mwenendo mzima wa Kampeni,huwa hawa wanaonyesha kwa kirefu.
Hata soka la kimataifa huwa wanaonesha piaIla startimes wale wana makwazo ... Yaann li king'amuzi kimesheheni matamthilia tu