Azam TV vipi kuonesha VPL ya Tanganyika?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,734
Tokea bonanza la Mapinduzi Cup lianze ni kama ligi kuu ya Tanganyika imesimama kwa kufuatilia kupitia Azam TV, ila utaisikia tu kupitia media nyingine ilhali pana mkataba wa kuonesha mechi hizo 'live/recorded'. Je mkataba huo unatoa uhuru kwa Azam TV ya kutoonesha mechi wakati wa kuonesha mechi za Mapinduzi Cup? Naomba kufahamu.
 
Tanzania na c tanganyikan
 
Hata mimi huwa najiuliza sana swali kama hili manake uhondo wa vpl tumeumiss!!!
 
Tanzania na c tanganyikan
Mkuu, hapa pana nchi mbili nazo ni Tanganyika na Zanzibar hivo pana ligi mbili vilevile ya Tananyika (VPL) na ya Zanzibar (Grand Malt). Hakuna ligi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom