balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,506 Reaction score 15,124 Sep 27, 2025 #1 Nimelipia king'amuzi toka jana channel hazifunguki,namba zenu za simu hazipokelewi.Mna nini?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,826 Reaction score 41,322 Sep 27, 2025 #2 Hebu fanya uhakiki tena
Munch wa Annabelle JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 6,290 Reaction score 10,865 Sep 27, 2025 #3 Kingamuzi cha wapi? Halaf tumaga email kwa msaada zaidi
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,715 Sep 27, 2025 #4 We endelea kuhangaika na hao Azam Tv sisi tumelogwa na JamiiForums hatuna muda wa kuangalia hayo makatuni ya Bakhiresa.
We endelea kuhangaika na hao Azam Tv sisi tumelogwa na JamiiForums hatuna muda wa kuangalia hayo makatuni ya Bakhiresa.
kaisar19 JF-Expert Member Joined May 24, 2021 Posts 228 Reaction score 391 Sep 27, 2025 #5 Pole kwa changamoto iliyo jitokeza. Utapata huduma wiki ijayo
U Umsolopagaasi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 943 Reaction score 962 Sep 27, 2025 #6 Write your reply...duu yaani leo hujui kuzifungua channels
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,120 Reaction score 5,871 Sep 27, 2025 #7 Utapiga mno hizo namba zinatumika masaa 24.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,561 Reaction score 8,085 Sep 27, 2025 #8 Nimekuona kwenye mtandao mmoja wa kijamii ukilalamika
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,383 Reaction score 8,272 Sep 27, 2025 #9 kaisar19 said: Pole kwa changamoto iliyo jitokeza. Utapata huduma wiki ijayo Click to expand... 🤓😎
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,325 Reaction score 62,202 Sep 27, 2025 #10 piga *150*50*5# kutuma ujumbe wa kuwasha
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,043 Reaction score 17,840 Sep 27, 2025 #11 Wana namba ya WhatApp huwa wanajibu kwa wakati ila siikumbuki. NB:Ukilipia huku kifurushi hakijaisha ukitegemea wataunganisha juu kwa juu huwa wanakata kikiisha cha mwanzo halafu wanajikausha hadi watafutwe.
Wana namba ya WhatApp huwa wanajibu kwa wakati ila siikumbuki. NB:Ukilipia huku kifurushi hakijaisha ukitegemea wataunganisha juu kwa juu huwa wanakata kikiisha cha mwanzo halafu wanajikausha hadi watafutwe.
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,483 Reaction score 3,136 Sep 27, 2025 #12 Karne said: Wana namba ya WhatApp huwa wanajibu kwa wakati ila siikumbuki. NB:Ukilipia huku kifurushi hakijaisha ukitegemea wataunganisha juu kwa juu huwa wanakata kikiisha cha mwanzo halafu wanajikausha hadi watafutwe. Click to expand... Uswahili kazi sana
Karne said: Wana namba ya WhatApp huwa wanajibu kwa wakati ila siikumbuki. NB:Ukilipia huku kifurushi hakijaisha ukitegemea wataunganisha juu kwa juu huwa wanakata kikiisha cha mwanzo halafu wanajikausha hadi watafutwe. Click to expand... Uswahili kazi sana
M man in Member Joined Jul 12, 2025 Posts 11 Reaction score 14 Sep 27, 2025 #13 Mimi mwenyewe nimelipia leo Tzs 28,000/= lakini bado sipatiwi channel aisee bora nirudi zangu dstv hawa jamaa bado sana kwenye customer care simu namba zote busy.
Mimi mwenyewe nimelipia leo Tzs 28,000/= lakini bado sipatiwi channel aisee bora nirudi zangu dstv hawa jamaa bado sana kwenye customer care simu namba zote busy.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,601 Sep 27, 2025 #14 Pole sana... Cc: Mahondaw