wana JF baada ya kuwepo kwa vingamuzi vingi nchini sasa nahitaji hki cha azam nikijaribishe naomba kwa wenye kujua vinapatikana wap maeneo ya Mbez-temboni kimara au maeneo jirani siihitaji kwenda hadi towm kutokana na miundombinu ya usafiri dar, pia ushauri wa hiki kingamuzi unakaribishwa.