Kwa upande wangu tatizo sii signal bali inajizima na kuwaka pia rangi ya screen hubadirika kuwa nyekundu isitoshe ndani ya screen kunasikika kama kuna mawe yanarukarukaTatizo linalofanana kidogo na hilo uwa linanitokea kwangu kipindi mawingu mazito ya mvua yanapotanda angani....signal zinapotea au sometimes picha na sauti vinakata ghafla au picha na sauti vina-stuck stuck au mawasiliano yanakatika na kunakuwa hakuna meseji yoyote kwenye screen...
niliwapigia Azam customer care wakaniambia fundi wangu atakuwa hakufanya vizuri installation ya dish hivyo kupelekea signal kuwa weak au inabidi ni-update software ya king'amuzi...
nilipojaribu ku-update kwa kufuata maelekezo yao ikashindikana mwisho wakaniambia nifike ofisini kwao TAZARA na king'amuzi changu wakicheki...bado sijapata nafasi ya kwenda ofisini kwao
Kwangu hakuna channel za watoto.Hivi Azam tv kuna tatizo gani, inakuwaje wengine hatuna channel kama Azam 1&2, sports wala Sinema zetu?
Chief nilifanikiwa, Signal ilikuwa kwenye 76, lakini quality ilikuwa ni 0%, hivyo nikaenda kucheki LNB na kukuta imepoteza direction, nikaweka sawa. Kurudi quality imeongezeka hadi kufikia 26. Kusearch tu kitu mwaah!Kwangu hakuna channel za watoto.
Tatzo litakua ni signal check Intensity to quality value inatakiwa kuwa 70 kwa 60 resp kwa transponder zao zote nne. Ikiwa pungufu ya hapo kuna baadhi ya channel hutaona.....
Hebu angalia picha hapo chini...
Safi mkuu. Fanya ifike 60 channel zitaongezeka.Chief nilifanikiwa, Signal ilikuwa kwenye 76, lakini quality ilikuwa ni 0%, hivyo nikaenda kucheki LNB na kukuta imepoteza direction, nikaweka sawa. Kurudi quality imeongezeka hadi kufikia 26. Kusearch tu kitu mwaah!