Azam Tv inapoteza mvuto

Vip local channel zipo??
 
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa


Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na

Udini unaimaliza azam
Dah [emoji3][emoji3][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Inauma sana walikuna vizuri ila ndio ndio vile sasa
Ukiangalia machanel yalivyojazwa, yote ya hovyotu. Mimi nalipia kuangalia mpira wa nyumbanitu na station za documentary. lakini kiukweli Dstv wako vizuri sana.
 
Wanaboa sana

Hizo cineme zao sijui zetu ndio wameshindwa kutoa tuzo hata kwa wazawa


Tuzo wanawapa eti Wa Irani sijui wahindi na Wa turuki .

Hovyo sana
Hahah mkuu mi naonaga hio Tv ni kwa ajili ya kusambaza tamaduni za wa-iran,waturuki inshort ni kwa ajili ya kutangaza tamaduni za waarabu/islam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…