Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,380
Unafikiria azamu angekuwa anategemea tu mapato ya tv tu, angeweza kufanya hayo?sekta ya habari nchini imepitia kipindi kigumu sana kwenye awamu ya 5, sasa kidogo kama ni mgonjwa ndio ameomba uji!!Sasa hayo mengine watafika tu badaye!!!Naona hawa jamaa Azam TV wameongeza Channel mpya kwenye series yao ya sports HD na kuleta AZAM sports 3 HD
Hii ni good move kwenye Tasnia ya TV hapa Tanzania. Sasa tuna channel 5 za HD. Kwa maana hiyo Azam ataweza rusha hata Match 5 za HD
TV nyingine kama Clouds, TVE na Wasafi sijui wanasubiri nini kuondoka kwenye mifumo ya kizamani na kuahamia HD maana wao kupata contents za HD ni rahisi hasa ukizingatia maudhui yao mengi ni burudani.
Una nini cha kusema?
Aljazeera anakurushia kitu kisicho Hd sembuse clouds ? Pengine upewe abc za vigezo hivo mzee,mpka sasa ni Maisha magc bongo Hd na hizo azam basiNi uzembe tu wa TV zingine kurusha mawimbi kwa HD ni kitu cha kuwashinda clouds kweli?
Mkuu hivi hiyo aljazeera huwa sio HD?Aljazeera anakurushia kitu kisicho Hd sembuse clouds ? Pengine upewe abc za vigezo hivo mzee,mpka sasa ni Maisha magc bongo Hd na hizo azam basi
Oi wazee nataka smart TV nzuri angalau sio chini ya inches 43. Ni brand gani kali na bei zake zipoje
Zinagonga mzigo fresh au hizo android zake ni bosheni tu?Economy brands TCL, Hisense na Evolli! Bei ni kati ya 850K-750K
Official android iko TCL na Hisense sema TCL wana ubora zaidi ya HisenseZinagonga mzigo fresh au hizo android zake ni bosheni tu?
Basi haina kelele ngoja niingie sokoni maana nataka nihame hapa home nikapange ghetto.Official android iko TCL na Hisense sema TCL wana ubora zaidi ya Hisense
Kama mfuko upo vizuri jaribu kucheki na Sony hizi zenye 4K resolution, huwa zipo vizuri sana bei ni atleast 1.3m - 2m unaweza kupata 50 inch na kuendelea, hutajutia.Oi wazee nataka smart TV nzuri angalau sio chini ya inches 43. Ni brand gani kali na bei zake zipoje.
Mbona wanauza bei ya gari arif? Hapo hicho kimango nikiongezea m2 sinakuwa baba mwenye gari.Kama mfuko upo vizuri jaribu kucheki na Sony hizi zenye 4K resolution, huwa zipo vizuri sana bei ni atleast 1.3m - 2m unaweza kupata 50 inch na kuendelea, hutajutia.
Tatizo la Sony wanauza na jina la brand yao wanabana sana kwenye upande wa bei ila quality wapo mbali sana ila ukitaka kubana kidogo matumizi TCL na Hisense ndio better options tena kama TCL hata Marekani anauza sana kwa sababu ya bei kuwa chiniMbona wanauza bei ya gari arif? Hapo hicho kimango nikiongezea m2 sinakuwa baba mwenye gari.
Poa chiefTatizo la Sony wanauza na jina la brand yao wanabana sana kwenye upande wa bei ila quality wapo mbali sana ila ukitaka kubana kidogo matumizi TCL na Hisense ndio better options tena kama TCL hata Marekani anauza sana kwa sababu ya bei kuwa chini
Ruka nayo hio chalyangBasi haina kelele ngoja niingie sokoni maana nataka nihame hapa home nikapange ghetto.
Aljazeera ana channel ya HD lakini sio katika ving'amuzi vyote.Aljazeera anakurushia kitu kisicho Hd sembuse clouds ? Pengine upewe abc za vigezo hivo mzee,mpka sasa ni Maisha magc bongo Hd na hizo azam basi
Jiulize pia je bbc ni hd ,Mkuu hivi hiyo aljazeera huwa sio HD?
Mbona picha clear kabisa.....!