Ni udhaifu akifa bos wao sindio watafunga mwakaAwali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.
Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.
Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.
Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.
Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.
Nyie watu gani? Mnaboa
Wasamehe bure msiba haukupi taarifa ili ujipangeNi udhaifu akifa bos wao sindio watafunga mwaka
Wehu sana hawa. King'amuzi changu kikiisha dalio natupa kule. Kwanini wazime na Chanel nyingine? Wapuuzi sana hawa Azam. Tumelipia 28 elfu tuangalie mpira wao wanazima channels. Kama hawana kibali waseme tuhamie DSTV. Kero kweli hawa viumbe.
Awali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.
Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa, musiba huu, umewafanya kuonekana mnauza huduma zenu wakati huo mkitaka wateja wasubiri hulka zenu.
Hivi ni sababu gani imepelekea kusitisha matangazo kwenye UTV yenu? Mtasema ni kuomboleza. Sawa nakubali. Hivi maombolezo hayo, yanaathiriwa na mpira pekee? Wakati mmezuia mpira kwenye utv, bado tamthilia na filamu vinaendelea. Nimeshindwa kuwaelewa.
Mbaya zaidi, mashirika ya mataifa jirani kama UBC, KBC, RWANDA TV, ambayo mtu akilipa cha 10,000/- anapata matangazo yao na walitangaza kuonesha mechi zote, kitendo chenu cha kuwazimia wkt wa mipira na kutuandikia *"Chanel restricted ", halafu baada ya mipira Chanel kuonekana, si uungwana hata kidogo. Tumelipia tuone si kuzuiwa kisa misiba. Wengi tumefiwa na kilevi chetu mpira.
Halafu mlivyo wabinafsi, hadi huduma kwa mteja mmezuia kabisa.
Nyie watu gani? Mnaboa
Naangalia mechi zote DSTV kwa elfu kumi na tisa tu( 19000)Wehu sana hawa. King'amuzi changu kikiisha salio natupa kule. Kwanini wazime na Chanel nyingine? Wapuuzi sana hawa Azam. Tumelipia 28 elfu tuangalie mpira wao wanazima channels. Kama hawana kibali waseme tuhamie DSTV. Kero kweli hawa viumbe.
Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?Naangalia mechi zote DSTV kwa elfu kumi na tisa tu( 19000)
wewe nawe umekuja na maswali ya kipuuzi sijui km umemuelewa mtoa maada.Binafsi nafikiri tusiourupuke kuwalaumu kabla ya kujua ukweli ni vyema kuwapa nafasi.
Je walitangaza wataonyesha AFCON Yote?
Je unajua haki miliki ya kuonyesha AFCON East Africa alipewa nani?
Je unajua kibali cha kuonyesha kapeea na nani na aonyeshe mpaka hatua gani?
Je unadhani CAF waliiweka AFCON as FTA mpaka hatua gani?
Naamini kungekuwa na Shida ya ki- technical, Lazima wangetoa Taarifa ya kutuomba radhi.
Kama una uwezo wa kupata kbc na rtv Basi kifurushi chako kinakuruhusu kuona 207, 210, 209 mpira wa afcon unapoosheshwa. Tatizo la azam wamekata kbc na rtv ili ulipie Cha 28 na hawajampa mbadala yule mteja wao aliyelipa 10Dstv nao ikifika wkt wa mechi wanakata Kbc na RTV maana zinaonyesha mechi hizi ila baada ya mechi wanarudisha hizo channel hewani.
Sinema Kali-action,detective, love story 139, bongo movie (housegirl na dada yake), West African movies, cartoon za watoto, mieleka, taarifa za habari za dunia kuanzia aljazira,bbc, Hadi za China huko, .( Unaepukana na chereko na ngoma zetu)Baada ya hapo mengine mazuri yapi yanapatikana huko kwa hiyo 19000 hebu tushawishi Mkuu kwa faida ya wale wenye Azam?