Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 429
Binafsi nashindwa kuwaelewa Azam hasa katika akaunti yao ya Instagram. Huwa wanaandika mechi inachezwa saa 10:30 wakati kiuhalisia inaanza saa 10:00 na pia wakati mwingine kuhusu Uwanja mechi inapochezwa wanachanganya.
Mfano, jana Mechi ya simba waliandika inachezewa Uhuru wakati mechi ikachezewa Taifa. The same na leo wameandika mechi ya Yanga vs Mwadui ni 10:30 na inachezewa uwanja wa Uhuru wakati kiuhalisia mechi inachezewa Uwanja wa Taifa.
Sijajua shida yao ni nini? Wanashindwa kupata taarifa za uhakika au wanedit kidogo kule kwenye akaunti yao Insta?