muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,061
- 15,225
Wawa ni majeruhi mkuu,pancha kila mara.Azam nayo imejaa uswahili, Wawa si wa mchezo lakini ameachwa
Wawa ni majeruhi mkuu,pancha kila mara.Azam nayo imejaa uswahili, Wawa si wa mchezo lakini ameachwa
yule Gonazo Biya nini sijui ni mashudu matupu!hata chama la kitaani kwetu hapewi jezi yule,sijui walimuokota wapi.shida Azam nako waoigaji wa dili za usajili wengi mno 'kama kwetu' tu!
Ashapigwa chini, Wa ivory coast wote tumeachana nao sasa tupo Ghana...yule Gonazo Biya nini sijui ni mashudu matupu!hata chama la kitaani kwetu hapewi jezi yule,sijui walimuokota wapi.shida Azam nako waoigaji wa dili za usajili wengi mno 'kama kwetu' tu!
Hata Liverpool waliamua kujipanga upya kwa Klopp!Ashapigwa chini, Wa ivory coast wote tumeachana nao sasa tupo Ghana...