Sawa mkuu, lakini hiyo 'chanel' ya UTV ni ya michezo??????Moja ya kitu kibaya kwenye maisha ni kutokujua jambo alafu ukaliongelea.
.
Mechi za EPL zinazorushwa na Azam UTV, Kiss tv Kenya na EATV (sina uhakika kama bado wanarusha) ni FTA na zinatolewa na Kwèse Sports.
Kwani lazima iwe ya michezo ndo waonyeshe michezo......mbona kuna channel zinaonyesha miziki ila hazitambuliki kama ni channel za miziki. ...jambo dogo sana hiloSawa mkuu, lakini hiyo 'chanel' ya UTV ni ya michezo??????
Ukilipia ndio Team zetu za bongo zinanufaika, usipolipia kwa kutaka bure, unadidimiza Team, huwa na mapato kidogo.Tunathamin saana cha mbele pengine ndio shidaa
Mkuu huwa naisikia tu hiyo tumaini tv sijawahi kuitazama kabisa vipi ubora wa vipindi vyao?I wish Azam Media mtaiweka na ile Tv yetu pendwa ya Kikatoliki (Tv Tumaini) kwenye king'amuzi chenu, badala ya Upendo Tv tu.
Nimeiona ipo Startimes. Tafadhali kama inawezekana lakini.