fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Matangazo yenu yana ubora mdogo sana, ukilinganisha na uwekezaji mkubwa sana mlioufanya.
Matatizo makubwa ni haya:
1.Sauti ni tatizo kubwa sana. Kila taarifa ya habari ni lazima ina shida ya sauti
2.Kuandika maandishi yanayoambana na habari hapo ndio kituko cha ajabu
3.Mpangilio wa watangazaji wanavyo kaa ama kusimama wanapotangaza vipindi kadhaa ni tatizo.
4.Uvaaji wa nguo wa watangazaji wenu ni kituko.
Hayo ni matatizo ya miaka nenda miaka rudi yapo tu. Njia pekee ni kuleta mtendaji mkuu kutoka nje ya nchi
Soma Pia: Azam TV kwenye application sio poa