Azam haitakagi mzaha yazipiga "Yanga bao 4-0", na Simba bao 1-0

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba bao 1-0.Heko Azam
 
Leo kidogo kutakuwa na utulivu ktk vikundi vya whatsap na mitandaoni. Angeshinda Simba au Yanga kungekuwa na maneno ya shombo balaa.
 
Kocha wa sasa wa Azam anakitu fulani anataka kukifanya. Je ni ubora wake au aliachiwa timu iliyoandaliwa tayari kwa ushindi yeye kaja kumalizia tu?
 
Hata mpira wa leo ni tofauti sana na wa yanga kumbe alistahili kupigwa nne kwa mpira wa leo nilivyouona.
 
image.jpeg
Jamaa kaamua kupiga mbizi from zenji hadi dar
 
Back
Top Bottom