Azam habari ni mkombozi wa habari nchini

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wao wameamua kuendeleza kasumba ileile ya lugha, wamekiita kipindi chao "Azam news". Si ushabiki usikiapo/angalia taarifa ya habari ya Azam TV unafarijika mno.
 
Wanapatikana vipi Youtube kwa habari za Siku hiyo?maana nikiingia Youtube nakuta habari za miezi sita 6 nyuma
 
Wanapatikana vipi Youtube kwa habari za Siku hiyo?maana nikiingia Youtube nakuta habari za miezi sita 6 nyuma
Sina uhakika mkuu, ila hata kwenye ving'amuzi vingine nadhani haipatikani!
 
Wanapatikana vipi Youtube kwa habari za Siku hiyo?maana nikiingia Youtube nakuta habari za miezi sita 6 nyuma
Ingia google andika azam tv then search utawapata live kupitia web yao ila inaonekana kwa kutumia kompyuta ya mezani au kompyuta mpakato
 
Aisee,hembu njoo Jumanne baada ya hangover kwisha,maana leo weekend umekurupuka ile mbaya.
Najua lengo lako ni zuri kwa sie wadau wa Azam,ila kueleweka ndio sheeda
 
Ahsante mkuu
4e5caf7709984643209d67ff8bd04d2a.jpg
 
Back
Top Bottom