kidE Meshack
Member
- Jan 8, 2013
- 92
- 7
Azam FC imeingia finali ya Mapunduzi Cup kwa mara
nyingine, imeitoa Simba kwa penati ya 5-4, dk 120
zilimalizika kwa sare 2-2, magoli ya Azam Fc
yamefungwa na Jockins Atudo pongezi kwa timu
nzima, Azam FC ilicheza pungufu ya wachezaji wawili
Jabir Aziz na Michael Kipre waliotolewa kwa kadi nyekundu