Dk ya 6 kcc wanapata kona ya nne
Dk ya 6 kcc wanapata kona ya nne
Dk ya 33 azam 0-0 kcc
Dk ya 38 azam wanapata goli la kwanza, John anaiweka azam mbele
Bila kumsahau Deo Corleone
Asante Mkuu kwa kuungana nasi, welcome on board!
Mkuu tupo pamoja kwa dk zote 90.
Kipindi cha mngwe ya lala salama kimeanza azam 1-0 kcc