Azam FC vs FAR Rabat

Sasa SIMBA watashiriki mashindano gani ya kimataifa mwakani?

Zanzibar ni nchi, watashiriki kombe la Mapinduzi huko Zanzibar, kombe la uhai linakutanisha timu za Tanganyika na Zanzibar na mashindano mengine watakayoyaanzisha. Kwa hiyo Wachezea LIBOLO msihofu, makombe mtaendeleo kuyakusanya kama kawa.
 
mmesahau mechi dhidi ya Barcelona na Levante mpaka sasa ni bila bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…