Ndio maana nikasema wataongeza wigo wa kuuza dekoda zao hasa sehemu za burudani nk ambazo zina watazamaji wengiazam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam
tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania
ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.azam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam
tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania
ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
Ulichoandika ndio UKWELITatizo sio TBC wanashindwa garama, tatizo ni serikali kuficha uozo ulioko, wanaogopa yale ya Escrow kujirudia wanataka wananchi wapate mazuri tu yanayofanywa na serikali. Hiyo ya kurushwa usiku itakuwa ime editiwa vya kutosha.
Eti live coverage ya bunge ifanywe na any local TV station lakini sio Azam Tv.azam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam
tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania
ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
Serikali ya China imewapa TBC gari zuri jipya la Outside Broadcasting naona litajifia tu maana hizo ndio ziliuwa kazi zakeAzam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
Hii issue ukiiangalia kwa jicho kali utabaini kwamba wameanza kwa kutest reaction ya wananchi kwanza kwa hili la TBC, wakiona wamefaulu na watu wamezoea kuangalia very compressed and edited bunge news (maana from 7 - 8 live coverage hrs to 1 edited hr) then kitakachofuata watazuia hao akina Azam, Star TV and others kurusha live.Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
It is likely to be..Hii issue ukiiangalia kwa jicho kali utabaini kwamba wameanza kwa kutest reaction ya wananchi kwanza kwa hili la TBC, wakiona wamefaulu na watu wamezoea kuangalia very compressed and edited bunge news (maana from 7 - 8 live coverage hrs to 1 edited hr) then kitakachofuata watazuia hao akina Azam, Star TV and others kurusha live.
Ndilo watu wanadai eti ni la pili Afrika baada ya South afrika linalomilikiwa na Supersport! Je kuna ukweli ktk hili au stori za vijiweni? Kama ni kweli ni kwann quality ya matangazo hayawi kama ya SS, au teknolojia!?Serikali ya China imewapa TBC gari zuri jipya la Outside Broadcasting naona litajifia tu maana hizo ndio ziliuwa kazi zake
Inaweza kuwa.. Lakini Quality ya picha hutegemeana na mambo mengi kama format inayorushwa hadi chombo kinachopokea kama ni High Definition piaNdilo watu wanadai eti ni la pili Afrika baada ya South afrika linalomilikiwa na Supersport! Je kuna ukweli ktk hili au stori za vijiweni? Kama ni kweli ni kwann quality ya matangazo hayawi kama ya SS, au teknolojia!?
Duuh!! Kweli Azam extra Wanaonyesha???Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
TBC wana OB Van (outside broadcasting van) iliyofungwa mitambo ya kisasa lakini utumikaji wake ni mdogo sana.bila shaka inatokana na maarifa hafifu waliyo nayo watendaji wake (production crew) ambao karibia wote umri umeenda,ni watu wazima waliobobea ktk zana za kianalogia.ukiwaleta kwenye digital Hamna kitu.wazee wale wamebaki kubebwa na uzoefu tu.Ndilo watu wanadai eti ni la pili Afrika baada ya South afrika linalomilikiwa na Supersport! Je kuna ukweli ktk hili au stori za vijiweni? Kama ni kweli ni kwann quality ya matangazo hayawi kama ya SS, au teknolojia!?