Azam bao la kisigino hilo

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,371
2,377
Katika hii sintofahamu inayoendelea ya serikali na TBC kusitisha live broadcast ya vipindi vya bunge inaweza kuwa na advantages kwa kituo kipya cha Azam

Kwa Azam kuonyesha live coverage ya mkutano wa bunge automatical wanagain viewers wengi zaidi jambo linalotafutwa na TV Stations zote duniani

Hii pia itasaidia kuongeza mauzo ya ving'amuzi vyao nchi nzima na automatically kuuza subscriptions zaidi

Kwa mtazamo wangu sio watu wote wenye Television majumbani hivyo hizo za maofisini na sehemu za burudani

Hebu tujiulize mambo muhimu yafuatayo

Je ofisi za umma zimekuwa ni viwanda ambavyo wazalishaji watakosa concentration ya kusikiliza bunge?

Coverage ya masaa sita kasoro utaibana vipi iwe kwa saa moja?

Editing itafanyika kwa mtazamo wa mtayarishaji wa kipindi hivyo anayoweza kuyaacha kwa kudhani sio muhimu kumbe kwa wengine ni muhimu

Je gharama za kutuma Wapiga picha, watangazaji na madereva huko Dodoma hazikujumuishwa kwenye ile figure ta 4.2 b? Kama ni ndio what is the actual cost for Iive broadcast?

TBC huwa hewani muda wote ikitumia umeme mwingi kuendesha transmitters na mafundi waendeshaji kurusha vikaragosi na miziki tu vitu ambavyo umuhimu wake na taarifa ya Bunge hauwiani

Tukumbuke bunge sio taarifa ya habari ya kuiandaa bali ni tukio (Event) hivyo yahitaji live coverage
Hoja ya kuiga tamaduni za nchi nyingine haina mashiko kwa kuwa tayari tumeshajiwekea utamaduni(mazoea) hayo kwa miaka 10 sasa hivyo kurejesha utamaduni wa ten years back ni ujima kabisa kwenye dunia hii ya maendeleo ya teknolojia ya upashanaji habari

Hivi ni nani anapenda kuangalia marudio ya mechi ambayo matokeo ameshayapata?
 
Tatizo sio TBC wanashindwa garama, tatizo ni serikali kuficha uozo ulioko, wanaogopa yale ya Escrow kujirudia wanataka wananchi wapate mazuri tu yanayofanywa na serikali. Hiyo ya kurushwa usiku itakuwa ime editiwa vya kutosha.
 
Inaonyesha ni mimi peke yangu ndiye sijaathiriwa na hiko ki-t.b.c na sijawahi kuhisi uwepo wao.
 
azam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam

tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania

ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
 
Ndio maana nikasema wataongeza wigo wa kuuza dekoda zao hasa sehemu za burudani nk ambazo zina watazamaji wengi
 
Kinachoibeba Azam ni quality ya picha,hata kama TBC ingeruka live muda wote bado Azam ingepata viewers wengi tu.
 
azam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam

tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania

ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
 
Naamini hata hawa azam tv mda si mrefu watapigwa ban ya kurusha live.
Huu ni mkakatai wa kujaribu kuficha udhaifu wa serikali na kurudisha bunge enzi za chama kimoja.
 
Tatizo sio TBC wanashindwa garama, tatizo ni serikali kuficha uozo ulioko, wanaogopa yale ya Escrow kujirudia wanataka wananchi wapate mazuri tu yanayofanywa na serikali. Hiyo ya kurushwa usiku itakuwa ime editiwa vya kutosha.
Ulichoandika ndio UKWELI
 
azam awezi kupewa kuonyesha bunge live kutokana na mtangazo na television za azam hizionekani kwa wananchi wote lau tu waliona king'amuzi cha azam sasa angalia ni wangapi tulio na ving'amuzi tofauti na azam

tukifanya hivyo bado tutakua hatujafikia malengo tulijiwekea ya bunge kuonekana kwa angalau 50% ya watanzania

ushauli wangu kwamba bunge lingeoneshwa na local tv yeyote lakini si azam
Eti live coverage ya bunge ifanywe na any local TV station lakini sio Azam Tv.

1: kwanini isiwe Azam Tv? Issue ya kusema eti wachache ndo wana visimbuzi vya Azam ni hoja dhaifu.

2: Azam Tv sio local TV?
Jibu hayo maswali afu tuendelee, lkn kama una elimu ya hapa na pale kaa kimya, sitaki ligi ya ajabu ajabu hapa.
 
StarTimes na TBC yao wanajipunguzia watazamaji
Maana TBC ilibaki bunge na mpira tu
 
Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
Serikali ya China imewapa TBC gari zuri jipya la Outside Broadcasting naona litajifia tu maana hizo ndio ziliuwa kazi zake
 
Hii issue ukiiangalia kwa jicho kali utabaini kwamba wameanza kwa kutest reaction ya wananchi kwanza kwa hili la TBC, wakiona wamefaulu na watu wamezoea kuangalia very compressed and edited bunge news (maana from 7 - 8 live coverage hrs to 1 edited hr) then kitakachofuata watazuia hao akina Azam, Star TV and others kurusha live.
 
It is likely to be..
 
Serikali ya China imewapa TBC gari zuri jipya la Outside Broadcasting naona litajifia tu maana hizo ndio ziliuwa kazi zake
Ndilo watu wanadai eti ni la pili Afrika baada ya South afrika linalomilikiwa na Supersport! Je kuna ukweli ktk hili au stori za vijiweni? Kama ni kweli ni kwann quality ya matangazo hayawi kama ya SS, au teknolojia!?
 
Inaweza kuwa.. Lakini Quality ya picha hutegemeana na mambo mengi kama format inayorushwa hadi chombo kinachopokea kama ni High Definition pia
Decorder za StarTimes sio HD wakati za Azam ni full HD
 
Azam kupitia azam extra mpaka sasa wanaonesha live coverage ya bunge. Hivyo kusema hawawezi kupewa sio sahihi. Ila kwakuwa TBC inategemea zaidi viewers kupitia bunge ni wazi TBC inaenda kufa kifo cha asili. Maana hakuna kipya kinachovutia huko. Pia watakosa matangazo ya biashara kwakuwa hakutakuwa na viewers wengi.
Naiona TBC inajichimbia kaburi.
Duuh!! Kweli Azam extra Wanaonyesha???
 
Ndilo watu wanadai eti ni la pili Afrika baada ya South afrika linalomilikiwa na Supersport! Je kuna ukweli ktk hili au stori za vijiweni? Kama ni kweli ni kwann quality ya matangazo hayawi kama ya SS, au teknolojia!?
TBC wana OB Van (outside broadcasting van) iliyofungwa mitambo ya kisasa lakini utumikaji wake ni mdogo sana.bila shaka inatokana na maarifa hafifu waliyo nayo watendaji wake (production crew) ambao karibia wote umri umeenda,ni watu wazima waliobobea ktk zana za kianalogia.ukiwaleta kwenye digital Hamna kitu.wazee wale wamebaki kubebwa na uzoefu tu.

TBC waache ukiritimba wa kunga'ng'ania wale wazee,zama zao zilishapita.

waige azam TV,ambapo broadcasting engineers karibia wote ni damu changa,vijana kutoka ktk vyuo vyetu vya ufundi kama DIT,mbeya Tech,st joseph UDSM na kadhalika.

acha waendelee kuisoma namba na lile OB van lao.
 
Back
Top Bottom