Azam arejea kileleni baada ya mtibwa kukalia kuti kavu ndani ya chamanzi complex

Rajab Mponda

Member
Dec 13, 2015
36
2
Wana wa lambalamba kule pande za chamanz nje kidogo ya jij la dar es salaam jana walipata pataxhika nguo chanika kwa ushind mwembamba wakiwa wenyej pale chamanz kwa ushind wa 1-0 goli likifungwa na bocco adebayor kwa free kick mzur nje kidog ya ya kibox cha 18
 
thanx
 
Mechi na Kagera Sugar na hii dhidi ya Mtibwa zimedhihirisha Azam ni timu ya hovyo kabisa.
 
mkuu wewe sio mshabiki! Azam unasema ni timu ya hovyo

Mkuu ni kweli mimi sio shabiki wa Azam, lakini mawazo yangu yanatokana na soka bovu kabisa wanaloonyesha Azam. Mimi ni mpenzi wa ligi ya ndani ndio maana nafuatilia mechi zote
 
poa mkuu usijali...umejibu vizuri mno
 
Back
Top Bottom