Azam anazidi kumpumulia Simba kisogoni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azam anazidi kumpumulia Simba kisogoni...

Discussion in 'Sports' started by Mphamvu, Feb 6, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ligi imenoga wapendwa, Azam yuko pointi mbili nyuma ya vinara, Simba, wakiwa na michezo sawa.
  Yanga Afrika yuko nafasi ya tatu, akiwa na pointi 31, moja nyuma ya Azam, lakini akiwa na faida ya mchezo mmoja zaidi.
  Well done Azam FC!
  FIFA.com - Tanzania: - League table
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawa ndio mabingwa wa ligi kuu msimu huu.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwani ligi imeshakwisha?
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sijasema ligi imekwisha ila kwa jinsi walivyojipanga nakuhakikishia mkuu hiyo timu itachukua ubingwa. Na pia timu hii itapiga hatua kubwa kimaendeleo na kuziacha simba na Yanga mbali sana.Najua kuna baadhi ya watu wanaumia kutokana na kauli hii lakini huo ndio ukweli. Timu zina miaka sabini lakini bado ombaomba? Una rasimali watu ya wapenzi, mashabiki na wanachama zaidi ya milio tano halafu unakuwa ombaomba? Aliewaroga Simba na Yanga nafikiri amekufa, angekuwa hai angewasamehe bure. Kwa Yanga wanateseka na laana ya marehemu Tabu Mangara.Huyu mtu alileta maendeleo makubwa ndani ya yanga.Ndie aliefanikisha ujenzi wa lile ghorofa pale jangwani na kununua magari manne kwa ajili ya timu. Fadhila aliyopata ni kufukuzwa kwa bakora. Alipofukuzwa muda si mrefu Yanga akapigwa 6-0 na simba. Kwa upande wa simba bado naifuatilia historia yake.ushauri wa bure kwa yanga waende kutambika kwenye kaburi la Tabu Mangara.
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya tuone kama Ligi kuu nayo ni Mapinduzi Cup . . . . . Maana kila mtu anasema anaijua vizuri Azam kuliko Azam wanavyojijua wenyewe
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mpira tunaweza ila kupania na si ajabu tukafungwa na yanga maana wanakamia mno..
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Azam ni tawi la Simba.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  mnyama mnamjua kweli?
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  mbona ipo nafasi ya tatu?
   
 10. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawa azam hawa wanachonga sana na bado tutawashusha daraja punde
   
 11. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Soka la bongo halitoendelea mpaka utawala wa simba na yanga ufe.
   
Loading...