Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
Huu ndio ukweliUjumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote.
View: https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY
Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote.
View: https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY
Maneno yako ni 💯 safi sanaWaisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali
walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!
najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!
IRAN shikamooo ..
Wameisha kamatwa wengi sana hao ndio walikuwa wanamsaidia Israel kurusha drones na kupiga mabomu na kuwafatilia ma scientist na ma Commander wa Iran.Navyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!
Ata wakimuua hawatabadirisha kitu kwanza mtu mwenyewe ana miaka 86. Mbona mmeuwa makamanda wa juu wa kijeshi wa iran lakina makopro wakashika nafasi na kupeleka moto mpaka wenyewe mkatema bungoNavyowajua wayahudi, yaani Ayatollah atauwa peke yake kama Rais wa Iran yule aliuawa kwa kuchomwa helicopter yake tu, yaani Ayatollah ajue MOSSAD wako Tehran kibao, na lazima watampeleka kuzimu, katu Myahudi hawezi kubali pamoja kawaua viongozi karibu wote wa Iran, ila Ayatollah ajue kabisa yuko within reach of Israel death squad!!!
Jidangan'ye tu ukweli wameuliwa macommander na Mossad kikosi cha 8200 karibu wote pale Tela Aviv. Toka lini Israel alitoa siri zakeIsrael wameua mkuu wa jeshi la Iran na aliembadili na viongozi kibao wa kijeshi,'
Iran wameshindwa kuua hata mgambo, walichoweza ni ku lenga nyumba za raia wa kaiwaida,
Naunga mkono hojaNina demu wangu tukitifuana dakika ya mwisho anapitiwa na usingizi mkali alafu anajichanua hata kujifunika hawezi.
.
Ninachokiona kwa ayatollaah kaamua kuniiga 😁
Wa Israel hawajakimbia tu hivi hivi bila sababu yale makombora ya Iran vishindo vyake vilikua ni noma Trump mwenyewe anasema tangu azaliwe hajawahi kuona mashambulizi kama yale na amekiri Israel imepigwa haswa, sasa lazima wana wa Israel wakimbie maana kombora likitua hapa hadi nyumba ya 10 lazima ipasuke vioo kwa mtikisikoWaisral kuvumilia shida awawezi tumeona Vita ya siku 10 tu lkn tayali
walikuwa wanaikimbia Israel kwa miguu na mizigo yao !!
najiuliza vita ingechukua miez m3 JE kungebaki mtu uko Israel!!!!
IRAN shikamooo ..
Pale Iran hata uwaue nchi nzima ukimuacha mtoto mmoja tu wa miaka mi 5 lazima arushe makombora hadi uombe amani kwahiyo hata wakifanya michezo yao ya kuvizia na kumuu Ayatollah wajue hapo ndo watakua wameuwasha moto ambao Trump mwenyewe hataweza kuusogeleaAta wakimuua hawatabadirisha kitu kwanza mtu mwenyewe ana miaka 86. Mbona mmeuwa makamanda wa juu wa kijeshi wa iran lakina makopro wakashika nafasi na kupeleka moto mpaka wenyewe mkatema bungo