Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa โ€œKwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?โ€

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ข๐š๐ค๐š 64 ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐›๐š๐๐จ ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ?,๐–๐š๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐Œ๐š๐ฃ๐ข ๐€๐ฐ๐ž๐ฌ๐จ ๐€๐ฆ๐ฐ๐š๐ ๐š ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐’๐š๐ฅ๐ข๐ฆ ๐Š๐ข๐ค๐ž๐ค๐ž

Aweso aache ujinga, kwanza huyu ni waziri Haramu wa Serikali Haramu.

Siku hizi mawaziri wanachofanya ni kuonekana kwenye press Kila kukicha, wanatoka kurasimisha utawala huu Haramu, matatizo mengi yanatengenezwa/yatatengenezwa kuwafanya Hawa maharamia kuonekana zaidi kwa wananchi.
 
kwa hiyo sasa baada ya hayo machozi ambayo ni fake anyway ndo maji yatatoka, au?

Kwanini mngangania mpka mnaua watu wakati hamna uwezo wa kudeliver chochote?

Hata huo umeme fikirienni kama siyo uamuzi wa kiume na wa kizalendo kujenga bwawa la Nyerere ambalo walilipinga hata hivyo hali ya umeme ingekuwaje leo hii? ...
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ข๐š๐ค๐š 64 ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐›๐š๐๐จ ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ?,๐–๐š๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐Œ๐š๐ฃ๐ข ๐€๐ฐ๐ž๐ฌ๐จ ๐€๐ฆ๐ฐ๐š๐ ๐š ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐’๐š๐ฅ๐ข๐ฆ ๐Š๐ข๐ค๐ž๐ค๐ž
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ana ujinga mwingi sana...bado kidogo aseme mabeberu ndio chanzo
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

๐Š๐ฐ๐š๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ข๐š๐ค๐š 64 ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐›๐š๐๐จ ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ?,๐–๐š๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐š ๐Œ๐š๐ฃ๐ข ๐€๐ฐ๐ž๐ฌ๐จ ๐€๐ฆ๐ฐ๐š๐ ๐š ๐ฆ๐š๐œ๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐’๐š๐ฅ๐ข๐ฆ ๐Š๐ข๐ค๐ž๐ค๐ž
WAZIRI boya kabisa...
Kazi yake kubwa kuoa Kila kukicha...
 
Tatizo la maji kuendelea kuwepo katika Jiji la Dar es Salaam hadi sasa wa kulaumiwa ni jiwe japo wengi watabisha au hawajui. Uchambuzi wa kimazingira wa Bwawa la Kidunda ulikamilika 2008. Mzee wa Msoga alilipa fidia kwa wakazi na vijiji vilivyohamishwa kupisha bwawa. Maandalizi yote ya ujenzi wake yalikuwa set wakati Mzee wa Msoga anaondoka. Jiwe kwa umimi wake na ubinafsi wa kutoendeleza miradi ya mtangulizi wake, akaachana na mradi huo, badala yake aliweka siasa eti kuna watu ndio wanasababisha uhaba (artificial scarcity) kwa makusudi. Haya ndiyo matokeo yake sasa. Mnayemchukia alipoingia ndio kaufufua huo mradi na ndio utakaopunguza uhaba wa maji Dar es Salaam na Pwani. Suluhu ya muda mrefu ni kuleta maji ya kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere.
 
Wenye akili kubwa mmekubali vp kutawaliwa na akili ndogo? Unaweza kubali kichaa akuendeshe kwenye gari?
Wewe rudi nyumbani kumenoga
Sio uko huko kwenye kilife chako comfortable halafu unarusha jiwe gizani
 
Tatizo la maji kuendelea kuwepo katika Jiji la Dar es Salaam hadi sasa wa kulaumiwa ni jiwe japo wengi watabisha au hawajui. Uchambuzi wa kimazingira wa Bwawa la Kidunda ulikamilika 2008. Mzee wa Msoga alilipa fidia kwa wakazi na vijiji vilivyohamishwa kupisha bwawa. Maandalizi yote ya ujenzi wake yalikuwa set wakati Mzee wa Msoga anaondoka. Jiwe kwa umimi wake na ubinafsi wa kutoendeleza miradi ya mtangulizi wake, akaachana na mradi huo, badala yake aliweka siasa eti kuna watu ndio wanasababisha uhaba (artificial scarcity) kwa makusudi. Haya ndiyo matokeo yake sasa. Mnayemchukia alipoingia ndio kaufufua huo mradi na ndio utakaopunguza uhaba wa maji Dar es Salaam na Pwani. Suluhu ya muda mrefu ni kuleta maji ya kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere.
Tatizo la maji si bwawa wala mto ruvu.
Nitakutolea mfano wa nradi mkubwa wa maji ya ziwa Victoria, baada ya kukamilika mradi maji yalikua yanapatikana masaa 24, Ila baada ya muda tatizo likaanza. Hapa tuseme pia ziwa Victoria limekauka au limeishiwa maji?

Wakiulizwa maswali kwa nn mwanza kuna tatizo la maji wakati maji yanatoka ziwani, hawana jibu. Kila mkoa wana visingizio , tafsiri yake tatizo sio vyanzo vya maji Bali tatizo ni wao
 
Back
Top Bottom