AWARD VERIFICATION NUMBER SOLUTION

AWARD VERIFICATION NUMBER SOLUTION

Last sentinel

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
267
Reaction score
108
Hellw jf,ninatoa huduma zifuatazo
1.Kusaidia mtu kupata AVN number(Award Verification Number)
AVN ni nn?
AVN ni Award Verification Number,namba ambayo inasaidia watu kuipata na kuweza kuendelea na masomo yao ya Degree.Ili kuipata mtu anatiwa ahakikishe matokeo yake yametumwa NACTE.

2.Kwa wale walosahau password za kulog in nacte nayo tunatatua changamoto

3.Mwenye tatizo la user exists nalo tunatatuwa

4.Kwa waliosahau password lakin na namba za simu walizotumia nacte zilitumiwa na watu wengine au zilishafungwa tunakusaidia kupata AVN.

5.Kufanya application za vyuo

6.Kufanya maombi ya transcipt

7.Kufanya maombi ya leseni
Kwa mawasiliano piga 0759-124378
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom