Award Verfication Number kwa Diploma kwenda Shahada

SIX ICYLICENT

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
11
Reaction score
1
Ndugu. Habari za mida. Samahani anaye elewa juu ya upatikanaji wa hii Namba ya AVN naomba msaada wake...nimeiomba tangu Mwezi jana hawajanipatia..msaada wenu
 
Hiyo ukiomba leo wanakupatia leo hii hii muda huu huu cha msingi zingatia mahitaji yote uwe nayo basi....haina shida hiyo kwakweli
 
kaka umeiomba kwenye system au umeenda direct kwenye ofisi zao makao makuu?..mimi nimeomba sana kama mara 5 sijawahi pata
 
Mara nyingi vyuo hua havipeleki matokeo kwa wakati..jitahidi ufike nacte ujue nini hasa tatzo..
 
kaka umeiomba kwenye system au umeenda direct kwenye ofisi zao makao makuu?..mimi nimeomba sana kama mara 5 sijawahi pata
Online...ila ni kama alivyokuambia mdau hapo juu inategemea iwapo chuo chako kimeshawasilisha matokeo NACTE ama vipi ,
 
Back
Top Bottom