AWAMU YA PILI KIDATO CHA NNE NI LINI?

AWAMU YA PILI KIDATO CHA NNE NI LINI?

mxuma

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
8
Reaction score
1
Napenda kuulizia chaguo la awamu ya pili kwa kidato cha nne itakua lini maana kuna ndugu yangu ana div III ya 22 hajachaguliwa kwenda advance tulivyofatilia tukaambiwa asubili awamu ya pili itatoka soon naomba mnisaidie hiyo awamu ya pili ni lini itatoka?
 
Back
Top Bottom