Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

Alikuwa hana utani na wezi wa hapo Kilimonjoro

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato

Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
Ujenzi maziwa yote chato
Miradi ya maji kutoka ziwa Victoria na ule kihistoria kule arusha chato
Treni ya dar Moshi na arusha chato
Mradi mkubwa wa maji wa rombo chato
Upanuzi bandari ya tanga na mtwara chato
Ujenzi wa viwanja 12 vya ndege chato
Elimu bila malipo chato
Utatuzi wa kero kwa mtindo kuhutubia barabarani chato
Kuanzishwa kwa safari channel chato
Kuanzishwa kwa tarura chato
Kurekebisha mikataba ya madini chato
Ujenzi wa hospitali za mikoa zaidi ya kumi chato
Ujenzi wa hospitali ya rufaa kusini mtwara chato
Kuingiza mifumo ya tehama ktk kazi ya serikali ili kukomesha uvujaji wa mapato na kuongeza uwajibikaji chato
Ujenzi wa veta chato
Kukataa lockdown na kuokoa maisha ya maefu ya watu chato
Kufufua kiwanda Cha viatu Moshi chato
Kusambaza umeme nchi nzima kutoka vijiji 2000 hadi kufikia vijiji 10000 kati ya vijiji 12000 chato
U

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe utaishi milele mkuu
 
Achana na hizo propaganda. Nchi tangu uhuru imeshuhudia miradi mbalimbali nchi nzima mikoa yote. Sema mkoa gani ambao haukuwa na project yeyote. Tuache ushabiki wa kichuki. Nambie mkoa gani ambao haukuwa na viongozi wa kuteuliwa. Na tena naweza sema mkoa uliokuwa na viongozi wengine pengine ni Iringa wala kanda ya ziwa. Alifanya distribution nzuri sana kwenye uteuzi. Tuache siasa za chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…