Awamu ya 5 na neno "Takwimu"!

Awamu ya 5 na neno "Takwimu"!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,572
Nimejiuliza sana juu ya hili neno Takwimu na awamu hii ya tano!

-Ni majuzi tu umepitishwa muswada wa sheria ya Takwimu unaokandamiza haki ya wananchi kukosoa serikali,ilipelekea WB kusitisha kutoa fedha kwa serikali katika nyanja hiyo!
-Ni majuzi tu TWAWEZA walipata misukosuko kwa kutoa TAKWIMU ya matokeo ya utafiti,ilipelekea mkurugenzi wao kukutana na rungu la uhamiaji!
-Ni awamu hii mkurugenzi wa utafiti wa magonjwa ya binadamu alitumbuliwa na JPM,chanzo kikieleza ni kutoa matokeo ya utafiti wa homa ya zika!
-Na sasa naona serikali inaenda kukaza zaidi kwenye TAKWIMU ili iweze kuzikalia TAKWIMU zisizowapendeza kwa kisingizio cha ustawi wa taifa!!!!

Awamu hii ina kasumba gani na neno TAKWIMU?????(
 
Back
Top Bottom