Mke kanitoroka sijui ata yupo wapi na cha ajabu kaniachia kichanga mwezi 1 na nusu,nimeisha mtafuta nimeenda kwao wamesema hajafika kule,vyombo vya habar nimeenda matangazo yamerushwa lakini hajapatikana,kisa na mkasa kilchofanya afanye hvyo aliniomba ruhusa aende kwenye shughuli ya rafiki yake,nimkataria nikamwambia kitoto bado kichanga co vizuri kukitembeza,dah ndo likawa koxa,siku ya nne leo tangu atoweke.nifanyejae wanajamii?.