gwenivia Senior Member Joined Feb 22, 2014 Posts 118 Reaction score 20 Aug 8, 2019 #1 Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina diploma ...msaada wenu🙏
Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina diploma ...msaada wenu🙏